Wednesday, March 23, 2016

TRL NA KIWANDA CHA SARUJI KUSAFIRISHA MIFUKO YA SARUJI TANI 35, 000 KWA MWEZI KIGOMA, MWANZA

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa wa pili kushoto wakiingia katika kiwanda wa Saruji cha Tanga Cement (TCCL) alipoenda kushuhudia utiliaji saini wa makubaliano ya usafirishaji mifuko ya saruji tani 35,000 kwa mwezi kwa mikoa ya Kigoma na Mwanza.

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella, akizungumza neno mara baada ya utilianaji saini wa makubaliano na Shirika la Reli Tanzania (TRL)kusafirisha saruji kutoka Tanga hadi Mikoa ya Kigoma na Mwanza kwa kutumia Reli ambapo kwa mwezi watasafirisha tani 35,000
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbara (kushoto) akiteta neno na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa  kabla ya utilianaji saini wa makubaliano ya kusafirisha saruji kwa kutumia shirika hilo Mikoa ya Kigoma Mwanza.






 Picha ya Pamoja ya Waziri wa Ujenzi , uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa pamoja na wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji Tanga
Moja ya maeneo ya kiwanda cha Saruji Tanga

No comments:

Post a Comment