Moja ya madarasa ya shule ya
msingi ya Mswaha Darajani Wilayani Korogwe Mkoani Tanga likiwa limebomoka na
kuhatarisha usalama wa wanafunzi shuleni hapo.
Madarasa hayo yamekuwa yakitumiliwa na wanafunzi yamekuwa yakihatarisha usalama wa wananfunzi na mwalimu
No comments:
Post a Comment