Miji 10 Duniani ya gharama zaidi kuishi na mmoja wa bei rahisi upo Afrika
Unatamani kujua ni miji gani gharama zake za kuishi ni
nafuu zaidi na pia ni ipi yenye gharama kubwa zaidi kuishi.
Economist Intellligence Unit
wamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani yenye gharama kubwa
zaidi za kuishi kwa mwaka 2016. Utafiti huu ulijikita zaidi katika
kufanya mahesabu kwa kulinganisha bei za vitu kwenye miji 133, Singapore imeshika namba moja kwa kuwa mji wenye gharama kubwa zaidi za kuishi.
Mji
mkuu wa Zambia Lusaka ndio mji wenye gharama ndogo za kuishi Duniani,
umechukua nafasi ya 133 ikiwa ni nafasi ya mwisho kwenye miji
iliyofanyiwa utafiti ikifuatiwa na miji ya India Bangalore na Mumbai.
1.Singapore
2.Zurich-Switzerland
3.Hongkong
4.Geneva
5.Paris
6.London
7.New York
8.Copenhagen, Denmark
9.Seoul-South Korea
10.Los Angeles
133.Lusaka -Zambia
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment