Friday, March 18, 2016

NAIBU WAZIRI MAZINGIRA LUHANGA MPINA AFANYA ZIARA YA KUSHUTUKIZA TANGA

 Naibu Waziri Ofisi ya Makamo wa Rais Mazingira na Muungano, Luhanga Mpina, akisaini kitabu cha wageni ofisni kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga jana.kabla ya kuanza kutembelea ukuta wa Pangani ambao unahatarisha maji kuingia mitaani.
Katika ziara hiyo Waziri Mpina alikifungia kiwanda cha Rhino Cement kwa uharibifu wa mazingira pamoja na kutoa maelekezo kabla ya kuanza uzalishaji.


 Naibu wa Waziri Ofisi ya Mkamo wa Rais Mazingira na  Muungano, Luhanga Mpina, akiangalia ukuta mto Pangani ukiwa umeanguka na kuhatarisha maji kuingia mitaani na kutoa ufafanuzi kuwa fungu la pesa la kuanza ujenzi wa ukuta huo liko tayari na kuwataka wananchi wa Pangani kuupokea mradi huo na kutoa ushirikiano.

 Afisa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Jacob Kingazi akimsaidia Naibu Waziri Luganga Mpaina kutoka ufukweni na kupanda ukuta wa mto Pangani ulioangukla baada ya kumaliza kuukagua jana wakati wa ziara yake ya kuangalia mzingira Mkoani humo.


 Mji wa Pangani ambao uko na historia nyingi . Moja ya majengo ya kale ufikapo Wilayani humo utakutana nayo

 Pia Naibu huyo aliweza kufanya ziara kiwanda cha Saruji cha Simba Cementi na kujionea kiwanda hicho kinavyodhibiti uharibufu wa mazingira ikiwa na pamoja na kutembeleza sehemu ya uzalishaji saruji na Sehemu ya uchimbaji udongo wenye madini utumikao katika uzalishaji wa Saruji.


 Naibu Waziri Mazingira Ofisi ya Makamo wa Rais akipata maelekezo kutoka kwa Injnia wa kwianda cha Saruji cha Tanga 9Simba Cement) Saimon Kakote wakati wa ziara yake jana.


Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment