RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) LEO
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiongeza na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile
alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam
leo Machi 10, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiongea jambo na Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu alipokutana na
kuongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt Philip Mpango (kushoto) na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius
Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar
es salaam leo Machi 10, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiaga baada ya kukutana na kuongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu
pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango (kushoto) na
Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza
makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016

akiongozana kutoka nje Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu
alipokutana na kuongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt.
Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT
jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiagana na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango baada ya
kufanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo
Machi 10, 2016 Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment