Mlipuko huo ulitokea wakati gari hilo lilipokuwa likelekea katikati mwa mji huo.
Lililirushwa gari hilo hewani kulingana na maafisa. wa polisi waliwaambia wakaazi wa eneo hilo kufunga madirisha yao na kukaa nyuma ya nyumba zao.
Lakini kundi la wataalam wa kutigua mabomu limesema kuwa hakuna hatari ya milipuko.
ulitokea mbele ya gari hilo aina ya Volkswagen Passat wakati ilipokuwa ikisafiri kuelekea Bismarckstrasse wakati wa saa za asubuhi ,msemaji wa polisi alisema.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment