Mshambuliaji wa Coastal Union, Juma Mahadhi, akijaribu kumtoka kiungo wa Mgambo
JKT, Salim Gilla(11) wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa
Mkwakwani.
Kipa wa Mgambo JKT, Said Saleh, akidaka mpira wa kona uliopgwa na Coastal Union langoni kwake wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani.
Kiungo wa
Mgambo JKT, Salim Gilla, akiwatoka washambuliaji wa Coastal Union wakati wa
mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani.
Mshambuliaji wa Coastal Union, Abdi Salim Chidebere, akipiga mahesabu ya
kumtoka beki wa Mgambo JKT, Salim Gilla wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara
uwanja wa Mkwakwani.
No comments:
Post a Comment