Friday, March 11, 2016

MPIGA PICHA WA RAIS WA VIETNAM ANOGEWA NA NGOMA ZA TZ

mc7
mc1
Mpiga picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini na  Rais wake , Truong Tan Sang, Machi  leo 11, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment