Tuesday, March 22, 2016

SOKO LA FERI LATAKIWA KUTUMIA GESI

10Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielkea kwenye soko la samaki la Feri  akitokea ofisini kwake  Magogoni  jijini Dar es salaam kukagua hali ya soko hilo Machi 22, 2016. Kushoto kwake  ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
11Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  eneo la kukaangia samaki kwenye soko la samaki Feri la jijini Dar es salaam Machi 22, 2016, Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala,  Raymond Mushi.
12 13Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Lishe wakati alipotembelea  soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016.
14Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia  Mama Lishe wakati alipotembelea  soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016.

No comments:

Post a Comment