Saturday, March 19, 2016

SIMBA YAINYAMAZISHA COASTAL UNIONI NYUMBANI KWAO, YAICHAPA MABAO 2 BILA HURUMA



Mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla, akimtoka kiungo wa Coastal Union, Ibrahim Twaha, wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanjwa wa Mkwakwani leo.

  Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kizza, akiwatoka mabeki wa Coastal Union wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwaaani jana.
  Mshambuliaji wa Simba, Danny Lyanga, akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufunga goli la kwanza wakati Simba ilipomenyana na Coastal Union uwanja wa Mkwakwani leo.
 Washabiki wa Simba wakiishangilia timu yao wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani leo.


 Kiungo wa Simba, Mohammed Hussein, akimdhibiti mshambuliaji wa Coastal Union, Abdisalam Achidebele, wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania bara uwanja wa Mkwakwani leo.



 
 Kiungo wa Simba, Vicent Aban akimdhibti mshambuliaji wa Coastal Union , Hamad Juma wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani leo.
  Shabiki wa Simba ambaye hakujulikana jina lake akimshukuru Mungu katikati ya uwanja baada ya timu yake kuibu na ushindi wa bao 2 bila dhidi ya Coastal Union uwanja wa Mkwakwani leo.
Washabiki wa Simba wakishangilia barabarani baada ya timu yao kuibuka na ushindi mnono wa mabao 2 bila dhidi ya Coastal Union mchezo uliochezwa jana uwanja wa Mkwakwani leo.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment