Tuesday, March 15, 2016

KUTOKA ZANZIBAR

Watu wasiojulikana wamerusha bomu nyumbani kwa Mkuu wa Polisi Zanzibar…

March 15 2016 kituo cha ITV kimeripoti taarifa kutoka visiwani Zanzibar ambapo inadaiwa kuwa na taarifa za watu wasiojulikana kurusha bomu nyumbani kwa Mkuu wa Polisi Visiwani Zanzibar eneo la Kijichi.
Mkuu wa Polisi huyo anayefahamika kwa jina la Hamdani Omar Makame, Kamishna wa Polisi Viswani ZanzibarIMG_0522-620x308
Bado Jeshi la Polisi linafanya  uchunguzi juu ya tukio hilo lilofanyika nyumbani kwa Kamishina huyo wa Polisi.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment