Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua kiwanda cha Maji ya Bunena Spring Water kilichopo mjini
Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa
Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua mradi mkubwa wa maji wa Bunena mjini Bukoba ulio chini ya
mamlaka ya maji ya mji huo BUWASA akiwa katika siku ya kwanza ya ziara
ya mkoa wa Kagera machi 13, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mlkuu)
Waziri Mkuu, Kassim majaliwa
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kwanda cha maji cha Bunena Spring
Water akiwa akika ziara ya mkoa wa Kageza Machi 13, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua maji uanayotengenezwa na kiwanda cha maji ya Bunena Spring
Water cha Bukoba mjini akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa
waKagera Machi, 13, 2016. Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la (Picha na
Ofisi ya waziri Mkluu)

No comments:
Post a Comment