RAIS WA ZANZIBAR AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA VIETNUM, AKUTANA NA MAALIM SEIF
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Rais
wa Vietnam Truong Tan Sang, jana Ikulu Jijini Dar es Salaam akipofika
kwa mazungumzo na ujumbe aliofuatana nao.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Ujumbe wake (kushoto) wakiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Rais wa
Vietnam Truong Tan Sang jana Ikulu Jijini Dar es Salaam akiwa nchini kwa
ziara ya Kikazi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia)akiagana na mgeni wake Rais wa Vietnam Truong Tan Sang(kushoto)
baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika jana Ikulu Jijini Dar es
Salaam(katikati) mawair mbali mbali wa Vietnum walioungana na Rais Truong.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto)akifuatana na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang(katikati) baada
ya mazungumzo yao yaliyofanyika jana Ikulu Jijini Dar es Salaam(kulia)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Augustin
Mahinga.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif
Hamad katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam jana akiwa katika
mapumziko baada ya kuugua kwa matatizo ya kiafya.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiteta na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
jana katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam alipofika kuonana
nae kiwa katika mapumziko baada ya kuugua kwa matatizo ya kiafya,[Picha zote na Ikulu]
No comments:
Post a Comment