Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Mwantumu Mahiza, akipatiwa maelekezo ya uwanja mpya unaotarajiwa
kujengwa na Chama Cha Soka Tanzani9a (TFF) eneo la Mnyanyani Tanga ambao
utakuwa na uwezo wa kucvhukua watu 30,0000 waliokaa.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza, akizindua jiwe la Msingi la uwanja wa mpya wa mpira unaotarajiwa kujengwa na Chama Cha Soka Tanzania (TFF) eno la Mnyanja ni Tanga ambapo utakuwa na uwezo wa kuchukua watu 30,000 waliokaa.
No comments:
Post a Comment