Mfanyabiashara soko la Ngamiani
Tanga, Adam Hassan, akipanga taa aina ya koroboi na ungo kusubiri wateja.
Kipindi hiki cha umeme kuzimika nyakati za usiku watu wengi wamekuwa wakinunua
taa aina ya koroboi kukidhi mahitaji nyakati za usiku. Taa moja koroboi ilikuwa
ilikuwa ikiuzwa kwa 800.
No comments:
Post a Comment