POLISI YAKAMATA SUKARI KUTOKA NJE IKIWA IMEFICHWA KWENYE GOFU
KAMANDA WA POLISI
MKOANI TANGA,KAMISHNA MSAIDIZI WA JESHI LA POLISI,LEONARD PAULO
AKIANGALIA SHEHENA YA SUKARI ILIYOKAMATWA IKITOKEA VISIWANI ZANZIBAR
INAYOTOKA NCHINI BRAZILI NA INDIA IKIINGIZWA BILA KULIPIWA USHURU
MKUU WA MKOA WA
TANGA,MARTINI SHIGELLA AKINYAJUA JUU SUKARI ILIYOKAMATWA NA JESHI LA
POLISI KWA KUSHRIKIANA NA TRA ILIYOINGIZWA NCHINI KWA NJIA ZA PANYA
IKITOKEA NCHINI INDIA NA BRAZILI
No comments:
Post a Comment