Tangakumekuchablog
Kwa miezi mitatu mfululizo wapenze na washabiki pamoja na wafuatiliaji wa blog hii wamekuwa wakipiga simu na kutoa maoni ya kurejeshwa kwa hadidhi ya Gwiji wa Simulizi Afrika Mashariki na Kati, Faki A Faki.
Kuaznia leo hadithii hiyo itaanza kuonekana leo hapahapa Tangakumekuchablog na itakuwa endelevu ambayo itakuwa chini ya Udhamini wa Mkombozi Sanitarium Clini Tanga iliyoko barabara ya 12 Ngamiani Tanga.
Kwa kujali maoni na ushari wa wafuatiliaji wa blog hii imeona ni vyema kurejesha silimu hizo mfululizo hivyo kwa mengi mengineo mazuri fuatilia blog hii hapahapa Tangakumekuchablog.
Kwa matangazo wasiliana na chumba cha matangazo simu 0655 902929
No comments:
Post a Comment