Friday, March 11, 2016

AZAM KUIVAA BIDVEST WITS LEO



Kocha Mkuu wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall (kushoto) akiongoza mazoezi ya mwisho ya timu yake jana Uwanja wa Bidvest Wits, Johannesburg Afrika Kusini kabla ya mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika mjini humo
Wachezaji wa Azam FC wakiwa mazoezini kwa ajili ya mchezo huo wa kwanza Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika
Kiungo Frank Domayo akicheza na mpira kwenye mazoezi hayo ya jana jioni
Wachezaji wa Azam FC wakipasha jana Uwanja wa Bidvest Wist
Azam FC walionekana wako vizuri kuelekea mchezo huo utakaoanza Saa 1:00 usiku
Beki Serge Wawa (kulia) raia wa Ivory Coast akiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa El Merreikh ya Sudan, mshambuliaji Mkenya Allan Waanga (kushoto)

No comments:

Post a Comment