Monday, March 21, 2016

RAIS MAGUFU AHAKIKI SILAHA YAKE

Rais Magufuli atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam baada ya kuhakikiwa silaha zake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa mtu wa kwanza kutekeleza agizo la Paul Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam la kuhakikisha silaha, ambapo bunduki zake mbili aina ya Shortgun na Pistol zimehakikiwa nyumbani kwake Ikulu Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha za Rais Magufuli akiwa katika zoezi la kuhakikiwa silaha zake.
.
.
.
.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka dole gumba katika moja ya fomu za uhakiki Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU
.
.
.
.
.
.
..Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapoa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment