Ndege ilioanguka nchini Canada
Mamlaka imesema kuwa ndege hiyo ilianguka ilipokuwa ikikaribia uwanja wa ndege wa Madeleine huku kukiwa na upepo mkali pamoja na barafu.
Jean Lapierre,aliyekuwa waziri wa uchukuzi nchini Canada pamoja na watu wa familia yake walikuwa miongoni mwa waathiriwa.
Bwana Lapierre mwenye umri wa miaka 59,alifanya kazi kama mchanganuzi wa CTV pamoja na vyombo vyengine vya habari.
Ndege ilioanguka Quebec Canada
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment