Mpya za Rais Magufuli kwenye uongozi wa TRA na TAKUKURU March 13 2016
Waliothibitishwa ni Alphayo Kidata, aliyekuwa Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambaye sasa ni anakuwa Kamishna Mkuu wa TRA na Valentino Mlowola aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), ambaye sasa anakuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TAKUKURU).
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakuemkuchablog
No comments:
Post a Comment