Monday, March 14, 2016

TUNATOA YA MOYONI WABUNGE WETU



 Daktari wa hospitali ya Magunga Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Dr, Jacob Muya, akizungumza katika kikao na Mbunge wa Korogwe Vijijiji (CCM) Stivin Ngongani na Mbunge wa Korogwe mjini (CCM), Merry Chatanda, walipofika kujua kero za wafanyakazi na mahitaji hospitalini hapo.


 Katibu wa Afya hospitali ya Mgunga Korogwe Mkoani Tanga, Frenk Mhilu, akizungumza mbele ya wabunge wa Korogwe Vijijini (CCM) Stivin Ngongani na Korogwe mjini (CCM) Merry Chatanda walipofika hospitalini hapo kupokea kero za wafanyakazi


No comments:

Post a Comment