Wednesday, March 16, 2016

DR, NYAU HAACHI KUWAVUNJA MBAVU WATAZAMAJI WAKE



Msanii wa vichekesho Tanga, Haikari Nyau, maarufu Dr, Nyau akionyesha ujasiri wa kucheza na nyoka wakati wa mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM) Stivin Ngonyani mji mdogo wa Hale juzi.
Msanii huyo ambaye amekuwa akiwakonga nyoyo wakazi wa Korogwe na Tanga kwa ujumla amekuwa kivutio ambapo mbali ya sanaa hiyo pia hutoa vichekesho na kuwavunja mbavu watazamaji.





No comments:

Post a Comment