Tuesday, April 19, 2016

CHEMBA BARABARA YA BOMBO TANGA IMEKUWA KERO


Chemba barabara ya Raskazone  mkabala na Katani House Tanga, likiwa linafurika maji taka na machafu na kuwa kero kwa watumiaji wa miguu na vyombo vya moto. Watumiaji wa barabara hiyo wameiambia tangakumekucha kuwa zaidi ya miezi sita chemba hiyo imekuwa ikitiririsha maji machafu bila uangalizi




Kwa matangaza kwenye blog wasiliana na idara ya Matangazo na Uenezi simu nambari 0655 902929

No comments:

Post a Comment