PICHA 10: Hadi kufikia March 2016 hivi ndivyo vinatajwa kuwa Viwanja 10 bora vya ndege Duniani
Kwa mwaka wa nne mfululizo uwanja wa
Ndege wa Singapore Changi umekuwa ndio uwanja wa ndege bora zaidi
duniani ukishika nafasi ya kwanza na ulichukua tuzo za SkyTrax World Airport Awards 2016 ambapo ulitangazwa huko Gologne Germany, Tuzo za Skytrax zinategemea kura zinazokusanywa kutoka kwa mamillioni ya abiria.
List ya Top 10 ya viwanja bora vya Ndege Duniani 2016
1. Singapore Changi Airport
2. Incheon International Airport (South Korea)
3. Munich Airport (Germany)
4. Tokyo International Airport Haneda
5. Hong Kong International Airport
6. Chubu Centrair International Airport (Nagoya, Japan)
7. Zurich Airport (Switzerland)
8. London Heathrow Airport
9. Kansai International Airport (Osaka, Japan)
10. Hamad International Airport (Doha, Qatar)
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment