Kamanda wa Polisi Tanga, Leornard
Poul, akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio la uvamizi wa majambazi
katika Super Market (Centrol Bakery)
jana usiku na kupora zaidi ya shilingi milioni mbili kisha kuwapiga risasi watu
wanne na kufa papo hapo.\
Tukio la Ujambazi la kutisha limelaaniwa na watu wengi na kuliomba jeshi la polisi kukomesha vitendo hivyo.
Kwa muda wa mwezi mmoja kumetokea vitendo vya ujambazi zaidi ya matatu hivyo wananchi kushtusha hivyo kulitaka kuwakamata na kuutokomeza mtandao huo ambao umekuwa ukiwaogopesha wananchi.
No comments:
Post a Comment