Friday, April 22, 2016

PICHA 15 TUKIO LILIPOFANYIKA UJAMBAZI NA MSIBANI KWA MMOJA WALIOUWAWA NA MAJAMBAZI

 Wanafunzi wa shule wakipita pembeni mwa jengo la Duka la Supere Market (Centrol  Bakery) barabara ya Mamlaka ya Maji Tanga, lilipotokea tukio la ujambazi na kuuwa watu wannne papo hapo na wengine waili kujeruhiwa.





 Wanafamilia ya mfanyakazi wa Mahakama aliepigwa risasi majambazi, Manfred Vitalis wakiomboleza msiba nyumbani kwake Raskazone Tanga, Vitalis alikuwa mmoja wa wateja walifika dukani hapo kununu mkate muda wa saa 2 usiku.juzi.






 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigellah akitoa heshima za mwisho kwa mmoja wa watu wanne waliouwawa katuika tukio la Ujambazi juzi katika duka la Super market eneo la Centrol Bakert barabara ya Mamlaka ya Maji Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigellah akimpa mpole mjane wa Manfred Vitals mmoja kati ya watu manne waliuwawa katika tukio la ujambazi juzi

No comments:

Post a Comment