Friday, April 15, 2016

NA WENGINE UEFA KUMEKUCHA

Yamenifikia majibu ya droo ya nusu fainali ya UEFA Europa League 2016

Najua tayari umepata majibu ya droo ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ila UEFA wametoa tena majibu ya droo ya UEFA Europa league iliyokuwa inahusisha timu za LiverpoolVillarreal, Sevilla na Shakhtar Donetsk. Majibu haya hapa baada ya UEFA kumaliza kuchezesha droo hiyo.
CgE-jFXIAIkddq
Michezo ya kwanza ya nusu fainali hiyo itachezwa April 28 na kurudiana Mei 5 2016
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment