Monday, April 25, 2016

DILI LA BOMBA LA MAFUTA TANGA, UGANDA

Sababu za Dili la Bomba la Mafuta kutoka Uganda kupewa Tanzania na si Kenya.

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo April 24 2016 amewasili Tanzania akitokea Uganda alipokwenda kwenye mkutano wa majadiliano ya bomba hilo la mafuta lipite wapi kati ya Tanzania au Kenya. Akizungumza baada ya kuwasili Prof. Muhongo ameeleza sababu zilizofanya Bandari ya Tanga kuchaguliwa ambapo ushindani ulikuwa ni wa ubora wa bandari na ubora wa njia ambako bomba litapita, unaweza 
Bomba hilo ambalo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika 2020 litakuwa na neema kwa wakazi wa Tanga na Taifa .
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment