Kikundi cha sanaa cha shule ya
Sekondari ya ST, Christina Girls ya Tanga, wakipiga picha na msanii maarufu wa
vichekesho Tanga anaejulikana kwa jina
Ngongoti Cheka, wakati wa mahafali ya 35 ya shule hiyo juzi.
Wanafunzi wa kidato cha sita shule ya ST, Christina Girls School ya Tanga, wakipiga picha ya ukumbusho ya pamoja wakati wa mahafali ya 35 ya shule hiyo juzi.
No comments:
Post a Comment