Kuna Mvua kubwa inashuka, taarifa imetolewa
April 26
2016 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa taarifa kwa umma ya kuwepo
kwa mvua kubwa na upepo mkali, taarifa hiyo ya mamlaka ya hali ya
hewa imetaja maeneo yatakayoathirika kuwa ni pamoja na Tanga, Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba ambapo mvua hizo zinatarajiwa kusambaa katika maeneo ya mikoa ya Kilimanjaro na mashariki mwa Manyara.
Kwa habari matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchabliog
No comments:
Post a Comment