Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia
kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya
Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu
viongozi wengine baada ya uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika
wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiteta jambo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa
NSSF Dkt
Ramadhani Dau wakati wa uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika
wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine
wakitembea
juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya
Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine
wakitembea
juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya
Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016
No comments:
Post a Comment