Wednesday, April 20, 2016

GARI LATUMBUKIA WAKATI LIKISUBIRI KIVUKO

 Gari moja limezama baharini wakati likisubiri kivuko lilipokuwa limeegeshwa .

 Inasemekena kuwa gari hilo lilikuwa na abiria wawili wakati likizama. Hadi hivi sasa mtu mmoja (Mwanaume) amekwishapatikana kwani wakati gari linazama aliruka nje ya gari.

 Harakati za Waokoaji kutafuta mwili wa pili (mwanamke) zinaendelea na inahisiwa yupo ndani ya gari. Hadi sasa gari halijaonekana.

No comments:

Post a Comment