Saturday, April 23, 2016

TASWIRA YA JICHO LA TANGAKUMEKUCHABLOG LEO.



Waendesha vyombo vya moto na baskeli wakipita kwa shida barabara ya Mamlaka ya Maji Tanga kufuatia chemba la maji taka kubomoka na kuhatarisha usalama kwa watumiaji wa vyombo na wapiti kwa miguu.
Wanaharakati wa mazingira Tanga, wameiambia Tangakumekuchablog kuwa licha ya jitihada za halmashauri ya jiji kuliweka katika mazingira mazuri jiji hilo lakini wamedai kuwa bado kuna miundombinu mibovu na mifereji michafu hivyo kuitaka mamlaka hiyo kufanya jitihada mbadala.



Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment