SUDANI YA KUSINI YAJIUNGA NA EAC
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akiwa na Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa wakimsubiri Rais
wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir
alipowasili Ikulu na kupokelewa na kwa ajili ya kutia kusani mkataba wa
kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki Leo April 15,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit
wakati Rais Kiir alipowasili Ikulu na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa ajili ya kutia kusani mkataba wa

kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki Leo April 15,2016, Kushoto ni
Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit akikagua gwaride la heshima wakati Rais Kiir alipowasili Ikulu leo.
Rais
wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir
akiwapungia mikono viongozi mbalimbali huku akiongozana na mwenyeji
wake Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakati
alipowasili Ikulu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki CEAC) na Rais wa Jamhuri ya
Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir wakibadilishana
hati za makubaliano ya kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki mara
baada ya kusaini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Jamhuri ya
Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir. Makamu wa Rais
Mh. Mama Samia Hassan Suluhu na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa
wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria
katika hafla hiyo ya utiaji saini.
No comments:
Post a Comment