Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa
Rais Mazingira na Muungano, January Makamba, akifurahia picha yake iliyochorwa
na mwanafunzi wa shule ya Sekondari Galanosi Tanga , Edgar Mchome, wakati wa
mahafali ya 35 ya shule hiyo. Jumla ya wanafunzi 438 walihitimu masomo yao.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba, akikabidhiwa picha na mwalimu mkuu wa zamani wa shule Galanosi Tanga Thadeus Kinala wakati wa mahafali ya 35 ya shule hiyo. Jumla ya wahitimu 438 walimaliza masomo yao.
Mwanafunzi wa shule ya Galanosi Tanga, Edgar Mchome, akimkabidhi picha aliyoichora Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais, Mazingira na Muungano, January Makamba, wakati wa mahafali ya 35 shuleni hapo, jumla ya wanafunzi 438 walimaliza masomo yao.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment