Daraja linalounganisha Kigamboni na Kurasini likizinduliwa
hivi karibuni na daraja limepewa jina la ‘Nyerere Bridge’, daraja hilo
limekuwa kivutio kwa wengi ndani na hata nje ya nchi.
Daraja la
Nyerere ni daraja kubwa na la kisasa Afrika Mashariki na kati, uzuri na
mvuto wa daraja la Mwl Nyerere ‘Kigamboni’ inawezekana ukaliingiza
kwenye hii list ya haya mengine Duniani mapya yenye muonekano Mzuri?
ambayo list hiyo imetolewa kupitia mtandao wa CNN April 27 2016,
Garden
Bridge, (London, UK) ‘bado linaendelea kujengwa’ tayari kuna zaidi ya
madaraja 30 yanayokatiza mto huo huko London lakini mradi huu mpya
unaonekana kuwa kabambe zaidi. Designer Thomas Heatherwick amebuni
daraja hilo kwa namna ya kufunikwa na bustani
Danjlang Bridge (Talpel, Taiwan)
Lucky
Knot Bridge (Changsha China) daraja hili limepangwa kufunguliwa baadae
mwaka huu, jina na muonekano wake unatokana na mapambo ya kichina ambayo
yanahusishwa na bahati.
Solvesborg Bridge (Solvesborg, Sweden)
Hellx Bridge(Marina Bay, Singapore)
Koge North Station (Koge, Dernmark)
Puente Laguna Garzon (Garzon, Uruguay)
Sarajevo Bridge (Barcelona, Spain)
Cirkelbroen (Copenhagen, Dernmark)
Zhangjlajle Canyon Bridge (Zhangjlajle city, China)
Nine Elms Bridge (London, UK)
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment