Sunday, April 24, 2016

YANGA YAIPA KIPIGO COASTAL, JANGALU ALIA NA MWAMUZI



 Mshambuliaji wa Coastal Union, Mwaja Adam(25) akijaribu kumtoka beki wa Yanga, wakati wa mchezo wa FA uwanja wa Mkwakwani leo.
Coastal imekubali kipigo cha mabao mawili baada ya dakika 90 za nyongeza na mwamuzi ilipofika dakika ya 10 alivunja mcjhezo baada ya kiza kuingia jambo ambalo limelalamikiwa na wachezaji wa Coastal na kocha wao.
Goli la pili ambao Yanga wamelipata limelalamikiwa kwa madai kuwa mchezaji wa Yanga alilingiza kwa mkono kwa kuelewa kuwa ameotea.


 Wachezaji wa Coastal Union wakiruka juu kuondoa hatari langoni mwao wakati wa mchezo wa FA uwanja wa Mkwakwani leo.
 Kiungo wa Coastal Union ya Tanga, Abdulhalimu Humuod, akiruka juu kugombea mpira wakati wa mchezo wa FA uwanja wa Mkwakwani Leo.

 Washabi wa Yanga wakiishangilia timu yao jana wakati ikimenyana na Coastal Union kombe la FA uwanja wa Mkwakwani Leo.


No comments:

Post a Comment