Tuesday, April 19, 2016

NI DARAJA LA KIGAMBONI (DARAJA LA NYERERE)



Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. John Magufuli amekataa daraja la Kigamboni lisiitwe 'Daraja la Magufuli' na badala yake ameshauri lipewe jina la muasisi wa Taifa hili, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. 



Akina mama na watoto wao wakilishangaa daraja hilo la kisasa
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment