Friday, April 29, 2016

MASHINE FEKI ZATEKETEZWA TANGA



Mshine feki za  kuchezeshea kamari (Game body) zikiteketezwa dampo la Duga  Tanga  baada ya operesheni iliyofanywa  kwa wiki moja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Game Body, Sadick Elims. Jumla ya mashine 50 zenye thamani zaidi ya shilingi milioni 90 ziliteketezwa.






No comments:

Post a Comment