Tuesday, January 24, 2017

MAPAMBO YA WANAWAKE, UTAMADUNI WA KIMASAI NA WAKIAFRIKA



 Mfanyabiashara wa mapambo  kwa wanawake jamii ya Kimasai, Loshie Lukumai, akipanga bidhaa zake kusubiri wateja barabara ya Swahili Street Tanga.
Wajasiriamali hiyo ya Kimasai wamekuwa wakitengeneza vitu vya utamaduni wao na Wakitanzania ambao wamedai kuwa hawana soko la kuuzia bidhaa zao na badala yake wamekuwa wakitegemea mteja mmoja mmoja.



 Mama wa Kimasai, Kinyati Lendai na mwanawe, Loshie Lukumai, wakipanga mapambo kwa wanawake kusubiri wateja barabara ya Swahili Street Tanga



No comments:

Post a Comment