Saturday, January 14, 2017

GULIO LA TANGAMANO TANGA

 Mwendesha mkokoteni Tangamano Tanga akiwa amesheheni marobota ya mitumba kuingia soko la Tangamano, Soko la Tangamano ndio soko pekee ambalo huuza vitu mbalimbali kwa jumla na rejareja ambapo watu kutoka maeneo mbalimbali ya mjini na nje mji pamoja na Wilayani hufika na kufungasha.



No comments:

Post a Comment