Tutajenga ukuta katika mpaka na Mexico

Rais wa Marekani
Donald Trump amesema kuwa siku kuu kuhusu usalama wa Marekani imepangwa
ikiwemo tangazo la kujenga ukuta kati ya Marekani na Mexico.Miji mitakatifu ni maeneo ambayo hayawakamati ama kuwazuilia wahamiaji wanaoishi katika taifa hilo kinyume na sheria.
BBC
No comments:
Post a Comment