Tuesday, January 17, 2017

AJALI YA PIKIPIKI SWAHILI STREET TANGA


Askari wa Usalama barabarani akisaidiana na mwendesha pikipiki ambaye hakujulikana jina lake baada kugongwa na mwendesha pikipiki (bodaboda) kisha kukimbia kwenye makutano ya barabara ya Eckenford na Swahili Street mjini Tanga





No comments:

Post a Comment