Wednesday, January 25, 2017

NCHI 7 ZITAZUILIWA KUINGIA MAREKANI

Nchi 7 ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani

Taarifa za baadhi ya maafisa wa bunge la Marekani (Congress) na mtaalamu katika Idara ya Uhamiaji zimeeleza kwamba Rais Trump leo Jumatano anatarajia kusaini miswada kadhaa ikiwemo ya kusimamisha kwa muda utoaji visa kwa raia wa nchi za Kiarabu.
 Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, maombi ya vibali kwa raia wa Syria, Iraq, Iran, Libya, Somalia, Sudan na Yemen vitazuiliwa.
BBC

No comments:

Post a Comment