Wednesday, January 11, 2017

MAJINA WALIOKUFA AJALI YA KUZAMA BOTI TANGA



Kaimu Mganga Mfawidhi hospitali ya Rufaa  (Bombo), Dr, Goodluck Bwillo, akiwaonyesha majina ya watu waliokufa maji na majeruhi waliookolewa  katika ajali ya boti na kulazwa hospitalini hapo juzi ambapo watu 12 walikufa maji na wengine zaidi 34 kuokolewa.





No comments:

Post a Comment