Saturday, January 28, 2017

WATU 15 WALIOFUKIWA MGODINI , WATUMA WARAKA WAKITA CHAKULA MAJI, SIGARA NA KIBERITI

Wengine waliamini wamekufa, leo ghafla Watu 15 waliofukiwa na kifusi toka juzi watuma msg

Taarifa za Watanzania kufukiwa na kifusi kwenye mgodi wa RZ huko Geita zimemuhuzunisha kila aliezipata lakini matumaini ya kuwapata Watanzania ambao iliaminika wamefariki, yamefufuka baada ya watu hao kutuma msg baada ya ukimya wa saa zaidi ya 20.
Kupitia AzamTV, Mwandishi wa habari Geita ameripotia kwa njia ya simu kwamba watu hao 15 wametuma msg na kusema wote wapo hai ila tu wanahitaji msaada wa chakula, maji, sigara na kiberiti kama waraka wa maandishi ambayo yanasomeka .

No comments:

Post a Comment