Monday, January 16, 2017

CHEMBA BARABARA YA 8 MAUA ROAD NGAMIANI TANGA YAWA KERO



Chemba iliyoko barabara ya 8 Maua Road Ngamiani Tanga ikitiririsha maji machafu na kutoa harufu mbaya na kuwa kero kwa watumiaji wa njia hiyo na waishio katika makazi ya watu.
Hali hiyo imekuwa ikiwapa hofu ya kuzuka kwa magonjwa ya miripuko na kuitaka mamlaka husika kuchua hatua za dharura.






No comments:

Post a Comment