Thursday, January 26, 2017

CHEMBA YA MFUMO WA MAJI TAKA JIJI LA TANGA LAHATARISHA USALAMA WA AFYA ZA WANANCHI



Wavuvi wa samaki wa kutega kwa ndoana Raskazone Tanga wakipita kwenye Chemba ya Majitaka inayotiririsha maji machafu baharini ambayo toka mifuniko yake ilipobomoka haijatengenezwa hadi muda huo na kutoa harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa Tanga waendao eneo hilo kwa mapumziko.





No comments:

Post a Comment