Friday, January 20, 2017

MAANDALIZI MTANANGE NA MVUVUMA WIKI IJAYO SHINYANGA



Wachezaji wa Mgambo JKT, Hamza Kidilu (kulia) na Paul Jonathan (kushoto) wakigombea mpira wakati wa mazoezi uwanja wa Mkwakwani Tanga kujiandaa na mchezo wao na Mvuvuma FC.


 Kiungo wa Mgambo JKT, Majuto Boban, akiwatoka wachezaji wenzake wakati wa mazoezi uwanja wa Mkwakwani Tanga kujiandaa na mchezo wao wa ligi daraja la kwanza Tanzania Bara na Mvuvuma FC.
Wachezaji wa Mgambo JKT wakifanya mazoezi uwanja wa Mkwakwani Tanga kujiandaa na mchezo wao ligi daraja la kwanza Tanzania Bara dhidi ya Mvuvuma FC.

No comments:

Post a Comment